Monday, August 3, 2009

Breaking News from Atlanta

Baada ya mafisadi kufanikiwa kuisambaratisha Tanzanite fc na Wachezaji kugoma kuingia kambini kujitayarisha na ligi kuu ya Marekani, hatimaye tegemeo la Timu hiyo kwenye safu ya ulinzi Ze sharif aamua kusaini mkataba na Timu yake ya zamani Fanja Fc ya kule Oman..... kwa maelezo zaidi yanakuja.

1 comment:

Anonymous said...

Timu sasa imeanza kusimama vema. Huu ni msingi tu, tunatakiwa tuanze kujenga .