Sunday, July 6, 2008

ACTIONS FOR FINAL GAME , (Kenyans from Atl) -0 vs Tanzanite fc -1






3 comments:

Anonymous said...

Kwani hii mech mlichesea wapi? Naomba kueleweshwa maana sijui ni huko Marekani au ni kule kwetu Bongo ama ni wapi labda kule Afrika? Nimewapenda sana hawa wamefanya vizuri tatizo ni kuwa sina more information.

Anonymous said...

tumechezea hapa usa
mji wa birmingham alabama.

Anonymous said...

Oyah Mzee hapo juu! Ukitaka info. ziko katika website ya timu www.tanzanitefc.com chama linafanya vizuri sana na lina wachezaji wenye vipaji vizuri ambao wanauwezo wa kuisadia nchi hapo baadae. Tatizo ni udhamini hakuna. Bado tunatafuta sponsor wakuipeleka timu Bongo ili tukazinyanayse Yanga na Simba na hata Stars!